KABAANG! Mume aliyejulikana kwa jina moja la Ngosha, mkazi wa Mabibo jijini Dar, amemfumania rafiki yake aitwaye Jazira akiwa chumbani na mkewe Jack wakiivunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu.
Picha tofauti juu zikionesha mke wa mtu na mgoni wake katika fumanizi liliotokea.
Tukio
hilo lilitokea Jumanne iliyopita saa 12 alfajiri ambapo ilidaiwa kuwa
Jack alikuwa chumbani na mwanaume huyo ambaye ni mpangaji, wenzake
wakipeana maraha.Imedaiwa kuwa, wawili hao walikuwa wakimtegea Ngosha akitoka kwenda katika shughuli zake, Jazira alikuwa akizama katika chumba cha rafiki yake na kufanya mchezo wa kikubwa.
Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog
Post a Comment