Sasa nadhani watu wataamini kwamba tupo mwishoni mwa dunia, asiyeamini yale maandiko sasa aamini hapa. Kijana na mwanamziki maarufu


Lee 2 Sparta" amejitoa fahamu kuweka chapa ya 666 ambayo ilitabiliwa kwenye maandiko ya biblia kwamba itatumika mwisho wa siku na sasa tunaweza kusema yameanza kutimia.Kijana huyu ambaye ameonekana na kuchokwa na maisha amejitia chapa hiyo na kusema hamwogopi mtu yeyote na yupo tayari kumtumikia shetani. Masikini huu ugumu wa maisha ni hatari, kijana kutoa kauli kama hizi ni laana hii.

Shiriki nasi kwa kutoa maoni yako hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog

Post a Comment

 
Top