clip_image001Hii imetokea Florida Marekani ambapo mtu mmoja alikua anaruka akiwa na Parachuti lakini akakutana na ndege hii ndogo ambayo baada ya kumgonga walianguka chini wote huku ndege ikiangukia pua.clip_image001[6]Pamoja na ajali hii, hakuna mtu aliepoteza maisha ila wote walipata majeraha madogomadogo baada ya kuanguka kwenye umbali wa futi 75 na wakapelekwa hospitali ambapo mwenye Parachuti John Frost (49) aliruhusiwa kuondoka.clip_image001[8]Hili tukio limenaswa jinsi lilivyotokea kwa sababu kulikua na mpiga picha aliekua na camera karibu na alikua anashuhudia kila kitu.
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-like page ya facebook

Shiriki nasi kwa kutoa maoni yako hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog

Post a Comment

 
Top