.
.
Baada ya msanii Ambwene Yessaya aka A.Y kutangaza jana kuwa namba yake ya simu imekuwa hacked na mtu ambaye akijitambulisha kwa watu kuwa yeye ni A.Y  huku akiwaomba hela, sasa taarifa nyingine ninayotaka kukusogezea ni kutoka kwa rapperFareed Kubanda aka Fid Q ambaye naye amekumbwa na tukio hilo leo Jan 13.
Sekunde chache zilizopita kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram Fid Qaliwahabarisha mashabiki wake kuhusu namba yake ya simu ya mkononi kutumiwa na mtu mwingine asiyemfahamu;”TAARIFA: Jamaa wamehack namba yangu ya tiGo ambayo ndo ilikua na whatsapp.. Na huo ndio ujumbe wanaowatumia watu wangu”– @fidq



Shiriki nasi kwa kutoa maoni yako hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog

Post a Comment

 
Top