o-IPHONE-SMUGGLER-facebookJamaa mmoja aliyekuwa akitokea China kwenda Hong Kong ametiwa nguvuni kwa kosa la kusafirisha simu kwa njia ya magendo, huenda kilichomponza ni namna alivyokuwa akitembea.
Watu walimshangaa kutokana alivyokuwa akitembea, wakawashtua maafisa wa Usalama, wakamfuatilia mtu huyo ili kujua sababu ya yeye kutembea hivyo.
Jamaa huyo alionekana akitembea kama amezidiwa na kitu kizito, alionekana akiwa amebeba mifuko miwili ya plastiki lakini isingemfanya aelemewe kiasi hicho, alipofika kwenye mashine zilizokuwa kwenye uwanja wa ndege kwa ajili ya ukaguzi zilipiga kelele na alipokaguliwa alikutwa na simu 94 za iPhone 5 na 6 alizokuwa amezifunga kwenye tumbo, mikono na miguu yake kwa gundi.
iphone-smuggler-2
Simu hizo zilizuiwa huku Maofisa wa Usalama wakiendelea na upelelezi juu ya tukio hilo.

750px-iphonearmor
download (4)
download (3) Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu,


Shiriki nasi kwa kutoa maoni yako hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog

Post a Comment

 
Top