vifua vikubwa kama kweli wanapendwa sana na wanawake au laUnaweza 
ukakutana na mwanadada akimsifia mkaka kwamba anakifua kizuri
akimaanisha kwamba ana kifua kipana ambacho kinajengwa kwa

kufanyamazoezi maalum, aina hii ya mwanamke bila shaka inaonesha
kuwahupendelea zaidi wanaume wa aina hii na kwa hakika kama mume wake
auboyfriend wake atakuwa na kakifua kadogo hatapenda sana na wala
hataridhishwa.

Shiriki nasi kwa kutoa maoni yako hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog

Post a Comment

 
Top