Hivi karibuni kumekua na tetesi kibao zinazomuhusu Chibu a.k.a Diamond Platinumz kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwana dada 'Zari The boss lady' wa Uganda,wawili hao hawakuficha hisia zao za malavidavi kwa watu huku wakionekana sehemu tofauti tofauti, Platinumz ameamua kuthibitisha kwenye social network.
"i cant wait to have you on my hand" picha hii ina ashiria kwamba bwana Chibu Da Ngote muda wowote anaweza kuitwa baba na mwana dada Zari ndo aliyebeba ujauzito huo.
Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog
Post a Comment