Mastaa wengi tumeona wakijichora tattoo sehemu mbalimbali za mwili, sikuwahi kusikia kwamba kuna mtu amewahi kujichora tattoo kwenye jicho.
Story iko hivi, rappa mmoja toka Marekani, Mace ameingia kwenye headline, story yake ni kama ya kushtua hivi, yeye alijichora tattoo kwenye jicho lake la kushoto, sio kwenye ngozi kama ambavyo tumezoea!
Msanii huyo alikimbizwa Hospitali baada ya kupata maumivu makali ya jicho ambalo alichora tattoo, kwa bahati nzuri alifanikiwa kupatiwa matibabu.
Tattoo hii ni tofauti na tattoo za kwenye ngozi, hii ya kwenye jicho huchorwa kwa mtindo wa wino kuingizwa ndani ya jicho na kisha kuenea ndani ya jicho kama wingu jeusi.
Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog
Post a Comment