Stori: Imelda Mtema
Msanii wa filamu ambaye sasa amejichimbia Dubai akisaka maisha, Jacqueline Dustan amevujisha picha zinazomuonesha akioga bafuni huku akionekana yuko bwii,  jambo ambalo ni kinyume na maadili.
Msanii wa filamu bongo, Jacqueline Dustan akioga huku akinywa.
Picha hizo zinamuonesha msanii huyo akiwa kwenye sinki lenye mapovu na nyingine zikimuonesha hadi sehemu zake muhimu.
Hizi ni picha zikionyesha Jacqueline Dustan akioga kwa kujiachia.
Katika kutaka kupata sababu ya mwanadada huyo kuziachia picha hizo ambazo Ijumaa imezipata kutoka kwa rafiki yake wa karibu (jina tunalihifadhi) ikidaiwa kuwa aliyempiga ni bwana wake, mwandishi wetu alimtafuta kupitia simu yake ya kiganjani na alipopatikana alisema: Cha ajabu kipi hapo, nilikuwa naoga kwa raha zangu nikamuita mtu akanifotoa, tatizo liko wapi?”

Shiriki nasi kwa kutoa maoni yako hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog

Post a Comment

 
Top