Watoto wapatao 17 wamepatikana wakiwa wamefichwa huko Kilimanjaro wakiwa wanapatiwa mafunzo ya siri ya maadili ya kiislamu kwa zaidi ya mwaka huko wazazi wao wakiwa hawafahamu wako wapi.

Kwa mujibu wa ITV watoto hao wengine waliletwa na wazazi ambao hawakuwaeleza ukweli wazazi wenza wenzao na wengine walikuwa wametoroshwa bila habari zao kufahamika.

Kisichofahamika mpaka sasa ni kwa nini mafunzo hayo yawe yawe ya siri? Jee hii inatofauti gani na yale ya Nijeria ya kuteka watoto inayofanywa na Boko Haramu? s

Shiriki nasi kwa kutoa maoni yako hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog

Post a Comment

 
Top