
Diamond Platnumz A.K.A Chibu Dangote Leo Katika Mtandao
wa Instagram ameweza kuvunja Rekodi kwa Kufikisha wafuasi
Laki Tano (500K) Anakua Msanii wa Muziki wa Kwanza Kua
na wafuasi wengi alieweza kuwapita wasanii wenzake wengi
na kuwaacha Gape Kubwa Hongera Kwako @DiamondPlatnumz

Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.