
Hatimaye Wema Sepetu kaamua kufunguka kuhusu Ugomvi Wake na Kajala. Yaani kamwaga ubuyu wote! kaongeaaaaaaaaa mpaka mwisho.
Amedai Kajala ni miongoni mwa marafiki wabaya aliowahi kuwa nao na kasema anajuta sana kumsaidia Kajala,ile kumlipia kumtoa jela anasema anaregret vibaya sana.Msikilize mwenyewe akionge...
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.