Huyu  naye ni  mwanamke  mwingine  asiyeijua  thamani  ya  mwili  wake  baada  kukubali  kupigwa  picha  akiwa mtupu...
Alikuwa na  mpenzi  waliyependana  kiasi  cha  kumpa  kila  kitu  hadi kukubali  kupiga  picha  chafu  za  uchi...

Wahenga  walishasema  kuwa  hakuna  marefu  yasiyo  na  ncha.Penzi  lao  lilifikia  tamati  baada  ya  kupishana  kauli  na  hivyo  wakaamua  kumwagana...

Maagano  yao  hayakuwa  ya  amani, hali  iliyomfanya  mwanaume  amalizie  hasira  zake  kwa  kufungua fake  account  ya  facebook
yenye  jina  la  mpenzi  wake  na  kisha  kumtupia  akiwa  mtupu. 
Maagano  yao  hayakuwa  ya  amani, hali  iliyomfanya  mwanaume amalizie  hasira  zake  kwa  kufungua fake  account  ya  faceBook  yenye  jina  la  mpenzi  wake  na  kisha  kumtupia  akiwa  mtupu.

Shiriki nasi kwa kutoa maoni yako hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog

Post a Comment

 
Top