Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia
kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia
mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza kufanya
mapenzi.
Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo
kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo
kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa
kupitia sms ndo inasisimua zaidi!
Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano; Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love"

Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo
"Jogoo" awike kidogo! nayeye hawezi kubaki kimya lazima atajibu
mashambulizi, nna uhakika itafikia point kila mtu, Udenda Utamtoka kwa
nafasi yake.......!
Na kila mmoja akawa na hamu ya mapenzi na mwenzie! Tuyatumie Maneno hayo kwa nafasi zetu
BOFYA HAPA CHINI UONE JINSI WASANII WANAVYOJIUNGA NA FREEMASON
Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog
Post a Comment