HII nayo kali! Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Happy au mama Hassan, mkazi wa Mbande jijini Dar, wiki iliyopita yalimpata mazito kufuatia kutumbukia kwenye shimo la choo lililokuwa katikati ya chumba anachoishi kwenye nyumba aliyopanga, Uwazi lina mkasa wote.


Muonekano wa chumba hicho chenye choo ndani.

Tukio hilo lilitokea wakati mwanamama huyo akifanya usafi chumbani humo na kujikuta akitumbukia kwenye shimo hilo ambalo awali lilikuwa la choo.

MSIKIE MWENYEWE
“Nimeishi hapa kwa zaidi ya mwaka sasa lakini sikuwahi kujua kama katikati ya chumba changu kulikuwa na shimo la choo.Mbaya zaidi nimetoka kumlipa baba mwenye nyumba pesa yake ya kodi juzi tu kwa kipindi kingine.”

BOFY HAPA CHINI KUONA JINSI WASANII WANAVYOJIUNGA NA FREEMASON


Shiriki nasi kwa kutoa maoni yako hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog

Post a Comment

 
Top