Wizkid-nativeStory ya account za mastaa mbalimbali duniani kuvamiwa nazo zimechukua kasi kila siku, baada ya wasanii mbalimbali duniani kusikika wakilalamika akaunti zao kuwa hacked kila siku.
Kutoka Nigeria wiki chache zilizopita kulikuwa na story ya kuvamiwa kwa account ya Instagram ya staa wa muziki, Yemi Alade.. Haijapita siku nyingi Wizkid naye amesema email yake ya wizkidayo@gmail.com imekuwa hacked.
Email hiyo ilikuwa muhimu kwa staa huyo kwa kuwa alikuwa akiitumia kufanya mawasiliano ya kazi zake pamoja na booking za show.
Wizkid alitoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter akiwataka mashabiki wake juu ya kuvamiwa kwaaccount yake hiyo; “The email “wizkidayo@gmail.com” just got hacked. Please ignore anything from that email.—-Management…“– @ 

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia waka

Shiriki nasi kwa kutoa maoni yako hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog

Post a Comment

 
Top