oSCARGereza la Death Island, South Africa alikofungwa mwanariadha mlemavu Oscar Pistoriuslilimpa uhuru kwenye baadhi ya vitu mwanariadha huyo, ikiwemo kuwasiliana kwa simu, kutembelewa na wageni na hata kusikiliza redio, baadhi ya wafungwa waliona kama anapendelewa.
Taarifa kutoka gerezani zinahusu Oscar Pistorius kugoma kula chakula cha gerezani kutokana na hofu kwamba wafungwa wenzake watamuwekea sumu.
Oscar ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano kwa kosa na kumuua bila kukusudia mpenzi wake Reeva Steenkamp amegoma kuendelea kula chakula cha gerezani ambapo mgomo huo alioufanya umemfanya mwili wake kudhoofika.

Shiriki nasi kwa kutoa maoni yako hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog

Post a Comment

 
Top