MAN PERIOD
Mfanyabiashara mmoja huko Uingereza amejikuta akipigwa na butwaa baada ya madaktari kumwambia kuwa haumwi Cancer kama alivyokuwa akifikiria baada ya kila mara kupata haja kubwa na mkojo zikiwa zimechanganyika na damu, lakini kumbe ana kizazi na hizo damu anazoona zikitoka kwa njia ya haja kubwa na mkojo ni pale anapokuwa katika Siku zake za mwezini ama period kama mwanamke.


Madaktari wamemwambia kwa hali hiyo hata kushika mimba anaweza kama akitokea akitaka, Kwa sasa anajiandaa kwa upasuaji ili kuondoa kizazi hicho.

Shiriki nasi kwa kutoa maoni yako hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog

Post a Comment

 
Top