Mama Maria Nyerere ambayeni mjane wa mke wa Rais wa kwanza wa Tanzania, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, jana jioni alizungumza na kituo cha runinga cha Taifa, TBC na kukanusha uvumi ulioenezwakatika mitandao ya kijamii kuwa ameaga dunia.Akizungumza na mtangazaji, Mama Nyerere alimuuliza,"ukiniangalia unanionaje?" ambapo mtangazaji alimjibu,"nakuona mzima!" huku wakitabasamu.Mama Maria alisema huu ni mwaka wa uchauguzi, hivyo mambo haya ya uzushi si ya ajabu.
Kabla ya uvumi wa kizushi kuhusu Mama Maria, juzi kupitia WhatsApp ulikuwa ukitumwa ujumbe mwingine wa kumzushia kifo Reginald Mengi, Mwenyekiti wa makampuni ya IPP.
BOFY HAPA CHINI KUONA JINSI WASANII WANAVYOJIUNGA NA FREEMASON
Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog
Post a Comment