Kutana na mtafiti wa Kimataifa Abrahem Joffe, ambaye alimgundua mwanamke
mwenye mdomo mkubwa zaidi duniani na alifanikiwa kumpima na akagundua
kuwa una 59cm.
Ataye Eligidagne ni mwanamke anaye tokea Southern Ethopia anaumri wa miaka 20, ndiye anayeongoza kuwa na mdomo mkubwa Duniani.
Joffe alisema kuwa wanawake hao hutoa meno ya mbele ili kupata nafasi ya kuuvuta mdomo huo, na kwa kufanya hivyo ndio njia pekee ya kudumisha mila zetu.
'Tunafanya hivi kama urembo kwa ajili ya kuwavutia wanaume zetu, na tunaweka hizi sahani kwenye lips zetu ili kutanua zaidi midomo yetu, na ukiwa na midomo mikubwa ndo unaonekana mwanamke shupavu kwenye jamii na wanaume wengi watakugombania'. alisema Ataye

BOFYA HAPA CHINI KUONA JINSI WASANII WANAVYOJIUNGA NA FREEMASON.
Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog
Post a Comment