Mara nyingi tumezoea kusikia matukio ya ajabu, mengine yakiingia kwenye historia na kuacha kumbukumbu zisizofutika kama hii ya mtoto aliyezaliwa China na kugundulika kuwa ni mjamzito.
Mtoto huyo aliyezaliwa Katika Hospitali ya Queen Elizabeth na kugundulika kuwa ana ujauzito wa watoto mapacha wiki tatu tangu azaliwe kitendo kilichowalazimu madaktari kumfanyiwa upasuaji.
Daktari bingwa wa uzazi Dr Yu Kai-man amesema haikuwa rahisi kumchunguza mtoto huyo ili kujua ujauzito huo, kwa kuwa ujauzito huo ulikuwa mdogo sana na haikuwa rahisi kufikiri kwamba mtoto huyo mdogo anaweza kupata ujauzito.
Taarifa zinasema tukio kama hili lilitokea mwaka 2010 ambapo lilimtokea msichana ambaye hajafahamika, Shirika la Afya Duniani lilisema hiyo inaweza kuwa aina ya cancer na inaweza kuhusishwa na kitendo cha mama kutoa sana ujauzito.
Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog
Post a Comment