Erick
Omondi ni miongoni mwa wachekeshaji hodari sana kutoka Kenya, umaarufu
wake unazidi kupata uzito kila siku zinavyosogea sababu kila time
anakuja na vitu vipya.
Kama ndio kwanza unamfahamu leo,
nakukutanisha hapa na video yake akielezea matumizi ya suti ambapo
pamoja na ishu nyingine anakwambia jinsi ya kumuadhibu mpenzi wako
anapokukosea.
BOFYA HAPA CHINI KUONA VIDEO
Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog
Post a Comment