Mungu ndio ataitenganisha hii couple.binadamu neeeeeeeeeeeever.sawa ananibonda kiiiiiiiiila siku ila ndo tumependana wenyewe.na kupigwa kuna raha yake jamani .ukiona haupigwi ujue hakuna wivu hapo.na mimi najua napompigia .mana naona mmezidi sasa kila saa kipigo kipigo.nsharidhika mimi bwege fala mjinga semeni yoooote ila ndo nshampenda na SIMUACHI NG'O.bora mfanye yenu tu .na nawapenda saaaaaaana wanaofatilia mziki wangu

Shiriki nasi kwa kutoa maoni yako hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog

Post a Comment

 
Top