no-instagram
Rapa Iggy Azalea amefuta kurasa yake ya Instagram baada ya mashabiki kumsambulia kuhusu kutaka maisha yake yasifuatiliwe.  Iggy Azalea alilalamikia mashabiki wake kuwa hapendi habari zake na mahala alipo kusambazwa kwa mapaparazi kwani anapenda kuishi maisha yake kama mtu wa kawaida ata kama ni mtu maarufu.
Iggy alilalamika kuwa “ata akiwa ndani ya nyumba yake bado anaona kama yupo jela sababu ya mapaparazi wanaomsubiri atoke wampige picha muda wote” .
Baada ya mashabiki kumsambulia kuwa ni msanii na kwamba hayo ni mambo ya kawaida, Hasira zilimfanya Iggy awe msiri zaidi na kuamua kufuta kurasa yake ya Instagram.

Shiriki nasi kwa kutoa maoni yako hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog

Post a Comment

 
Top