Breaking News: Chadema Yambwaga Zitto Kabwe Mahakamani
CHADEMA YAMBWAGA ZITTO MAHAKAMANI....
Hatimaye chama kimeshinda kesi dhidi ya aliyekuwa mwanachama wake Zitto Kabwe.
Mahakama imeamua katika hukumu yake leo kuwa Chama kinaweza kuendelea na taratibu zake. Aidha, Mahakama imeamuru Zitto alipe gharama zote za kesi.
Wanasheria wa chama, Peter Kibatala na John Mallya wataongea na Vyombo vya Habari punde.
Post a Comment