Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper ameyasema hayo baada ya hapo jana baadhi ya mashabiki mtandaoni kumshambulia mara baada ya kubandika picha akiwa na kipini puani.
“Ewe kipini....kipini kipuli kipuli...kiheren kihereni umenijazia inzi kwenye akauni yangu yangu lakini kipini nivumilie nimalize hii Movie na we utapumzika lakini kipini nilivyokuhusudu naunaendana na kabila la Mama yangu upande wa bibi mza mama Masai basi nitakufkria eidha uwe ndonya yangu yakudumu au nitakutoa lakini kwakua ni asili yangu namnyaki mimi nitakuwacha nakukuhusudu nakukupa kipaumbele kama hivyo vilips hapo
Jaman Am Solee muwe mnauliza kwanza kumbukeni sana ni kazi yangu nahicho kipini hapo kinaniingizia HELA nasijatoboa nimeweka tu kwahyo kipini hiki kiacheni kama kilivyo yani ata nikimaliza hii Movie kwa kuwa maongezi yamekuwa mengi mara ng'ombe mara ndonya basi acha nimfutaishe koko wangu mmasai kudumisha mila yake Am soleee gangoswee muachieni ngosweee ujatumwa kucoment wala kutoa ushauri nasaa hapa”.-Wolper ameandika mtandaoni.
Nadhani imeeleweka, yupo kwenye utengenezaji wa MOVIE ila pia anaweza kukiacha.
Facebook Blogger Plugin by Michapo Blog
Post a Comment